Dhima

SHIRECU (1984) LTD,  ilijitahidi kuwa chama mwamvuli imara kinachounganisha Vyama vya Ushirika vya Msingi vya Mkoa wa Shinyanga ili kuviwezesha kuwa taasisi imara za ujasiriamali zenye uwezo wa kuleta maendeleo endelevu ya kiuchumi na ustawi wa jamii kwa manufaa ya wanachama wake.